Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya therasini na tatu shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya therasini na tatu
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "kufanya mchezo ndani ya nyumba moja"
.
Basi nilipopata usingizi nililala vizuri kwani ukiufanua usingizi wangu kuwa mzuri mnoo kwa kile kitendo na huwa mzitooo tena wenye hali tofauti na siku zote.
Na kulipokucha na nilichelewaaa kuamka huku sauti yangu ilipotea gafra kwa mchezo niliokuwa nimeucheza jana yake kwa pindi tulipokuwa tukifanya mambo hayo sauti ilitoka mnooo kwa ule utamu niliokiwa nikiupata kutoka kwa shem Erinest.
Niliamka saa hizo nikiwa mwingi tena mwenye uchovu mkali hata kutamani kutokwenda kazini lakini sikutaka kufanya hivyooo na ndipo wazo la kujiandaa kwenda kazini likawa lime pitishwaaa na alimashauri ya kichwa changu basi na niliongoza njia nilipo maliza kufanya kila kitu na nilipokuwa njiani gafra nikiona gari aina ya Range ikiwa imesimama mbele yangu wala sikutia shaka niliendelea na safari na ndipo nilipo ikaribia gari hiyooona kuona kioo kikishushwaa taratibu na kusikia sauti ikiniita.
"Dada samahaniii dada yangu"
nami niliitikia bila ya hata uoga wowote
"Eeeeeehe!! Kaka yangu bila hata samaani "
"Napenda kukuuliza hiii njia ndiyo inafika kitongani"
"Yaaaaah! hata mimi mwenyewe ndiko ninakoelekea lakini sio mbali sana na kitongani"
"Mmmmmh! Basi naisi wewe ndio utakuwa mwenyeji wangu huko uendakooo basi napenda kuomba uingie ndani ya gari tuongozaneee"
"Mimi nimeshafika asante kaka wala usijali "
Alicheka na kuniomba mno "Hahahaha! Basi naomba japo tu upande hata nikufikishe hatua hizo chache"
Nilishindwaaa kukataa nami mdogo mdogo niliingia kwenye gari hiyo aina ya range kuongozana nae basi kati kati ya safari maongezi yalinoga nami sikuwa na aibu tena tulitwanga story za hapa na pale lakini nilipo karibia kufika nami nilimwambia nae alipaki pembeni na ndipo nilipofungua mlango wa upande uluopa ili nishukeee na nikipotaka tu kushuka aliniita na kugeuka kumsikiliza nae akitoa business card yake na kunipatia na nilipoipokea nilisikia akisema "Asante na nitafurahi pindi upatapo shida ya kuonana nami waweza kunitafuta kuoitia hiyo nambaaa sawa na samahani unaitwa nani??"
"ok nashukuru sana mimi naitwa isabelaa"
"Ok sawa isabela nitategemea kupata call yako"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment