Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri Sehemu ya kumi na moja Shemeji Ingiza pole pole Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri


Sehemu ya kumi na moja Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .Ilipoishia "isabela" sawa dada nitafanya hivyo ".Amina "kuwa makini sana mdogo wangu kwani naisi kuvurugwa akili ngoja nikapunguze mawazo kidogo sehemu flani na hapa majukumu yote nimekuachia wewe nakuamini okeeey! na nitasafiri ndani ya siku tatu au mbili "isabela "sawa dada wala usijari kwa hilo kwani nitafanya yote ulionielekeza na wala usiwe na hofu nami".Dada amina aliondoka saloon huku nikiona mbeleni kuna kitu chaweza kutokea nami sikuwa na hofu huku nikiwa nafikiria juu ya dada amina hazijupita hata dakika kazaa na kuona gari zikipiga king'oraaa huku sikija kwa speed ya hatari. Walipofika walishuka ndani ya gari na kuja moja kwa moja mpaka saloon waliingia ndani huku wakiongozwa na yule mtu aliye kuja na dada amina mda mfupi uliopita nikishangaa sana na kuwaza nini kinataka kutokea nami sifahamu chochote. Niliogopa sana huku nikiwaza juu ya kukamatwa na wale polisi hawakuongea nami na kupitiliza moja kwa moja mpaka kwenye ofisi ya dada amina na kutafuta na walipo ona hakuna walichokuwa wakikitafuta wote walirudi nilipokuwa na kuanza kunioji huku mtu wa kwanza alikuwa ni mtu aliye kuwa na dada amina na kuniuliza kwa ukali huku akionesha chuki ndani yake imesambaaa "amina alikuambia anaelekea wapi mda huuuuu!"nilimjibu huku nikiwa na uoga mwingi sana hofu yangu kubwa ikikuwa ni kuulizwa maswali ambayo sijui hili wala lile pili kupelekwa kituoni niliogopa sanaaa Isabela "sijui kwani ulivyo toka wewe tu mda huo huo nae alijufata nyuma "Hapo hapo polisi waliposikia jibu langu walitoka mbio mbio na kupanda gari na kuondoka maeneo ya saloon.Nami kuona vile ilinibidi nichukue simu haraka haraka na kumpigia dada amina simu Simu iliita sana mpaka dakika ya mwisho dada amina alipokea simu Isabela "hallooooooooooooo dada "Amina "nambie mdogo wangu vipi kuna kitu nimesahau kukuachiaaaa "isabela"hapaana dada yangu kwani hivi navyoongea polisi wanakutafuta sana "amina"heeeeeh polisi wamekuambia wananitafutia nini mimi "Isabela "hawajaniambia kitu wameondoka mda huuu kama upo nyumbani kimbia dada yangu kwani wanaongozwaaa na yule mkaka uliye kuwa nae asubuhi."Amina"mmmmmmh sawa nimekuelewa"
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment