storynzuriSehemu ya nane
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "Kazi hiyo kwa namna moja au nyingine kwani iliniingizia kipato kizuri kwa siku"
.
Niliendelea hivo hivo huku boss wangu Amina alitokea kunipenda sana kwa Kazi niliokuwa nafanya kwenye saloon yake mpaka ilimpelekea yeye kutaka niame kwa rafiki yake Yolanda ili nikaishi nae kwake. Sikutaka iwe hivyo kwani nilitoka kijijini na mlezi aliye julikana kuwa atakaye nilea na kuishinae ni Dada Yolanda pekeake haikuwa rahisi kwa boss Amina kwa kile alicho kuwa akihitaji kutoka kwangu kwani nilimuomba niwe kama zamani na tokea kwa Dada Yolanda na kuelekea saloon.
Nilivyoonesha kuwa sikubaliani nae boss Amina hakutaka kunielewa mpaka alikwenda kwa Dada Yolanda na kuzungumza nae mimi sikufaamu kuhusu jambo hilo. Siku moja boss Amina hakuonekana saloon siku nzima basi nami sikuwa na hofu kwani nilikuwa nimesha yazoea siku hiyo nilifanya Kazi siku nzima nikiwa mwenyewe saloon nzima ilipo fika jioni nilifunga na kuelekea nyumbani nilikuwa nimechoka sana niliwaza nikifika nyumbani tu chakwaza inabidi nioge na nipumzike ili niondoe uchovu Wa siku hiyo.
Nilipo fika nyumbani niliingia ndani sijui hili wala lile mpaka sebureni nilishangaa sana kumkuta boss Amina nyumbani bila ya yeye kunijuza kuwa hata kuja kazini kwani Mimi niliisi ni mgonjwa. Sikutaka kuongea azalani ilinibidi niwape salaam yao nikipita pembeni yao na nilielekea chumbani kupumzika huku nikiwaacha wakipiga unazofanya
Baada ya mda mfupi dada yolanda alikuja chumbani na kuniita na nikiitika wito japo sikujua nini kikiendelea huku nikiwaza Yale aliokuwa akiniambia boss Amina kuamia kwake. Nikifika sebureni na niliketi pembeni yao na kuwasikiliza
Yolanda "aaahaa! Tumekuita hapa kuja jambo tunatakata turiweke sawa Mimi wewe na Amina boss wako"
Nilishituka sana alivyo sema maneno Yale huku nikiitika kwa sinto fahamu "sawaaaa Dada!
Nikijua tu japo kuwa Dada Yolanda alikuwa hajui kama nami hilo swala nalijua sikutaka kuonesha kuwa nalijua lakini nilikuwa nikihisi ndilo hilo hilo.
Yolanda"Isabela Mdogo wangu"
Isabela "beeee! Dada yangu"
Yolanda "rafiki yangu Amina alihitaji sana tena sana ukaishi nae kwake kwani katokea sana kuzipenda Kazi zako unazofanya...?
About storynzuri
0 comments:
Post a Comment