Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuriSehemu ya SaBa Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .

Sehemu ya SaBa
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "Nilipo fika kidato cha pili nilifanya mtiani Wa kuingia kidato cha tatu..."
.
Nilifanya vizuri nikafanikiwa na masomo huku nikiweka juhudi ili nifike malengo niliokuwa nime yaweka. Miaka miwili ilipita nami nilihitimu masomo yangu ya sekondari na ni kipindi hicho hicho nilikuwa nayasubilia matokeo yangu ya kuingia ngazi ya juu (kidato cha sita). Matokeo haya kuwa mazuri kwangu kwani siku fanikiwa kuchaguliwa miongoni mwa walio fahuru kipindi hicho matokeo yalikuwa siyo mazuri kwa nchi nzima kwani yalionekana kuwa tofauti na ya miaka iliopita hivo idadi ya waliofeli turikuwa wengi mnoo!.
Nilivyo yapokea matokeo hayo wala siku amini na kubaki nalia huku nikipata mvulugiko Wa akili kwani nilipoteza fahamu takiribani masaa mwili. Niliposhituka sura ya kwanza ukiona ilikuwa ya Dada Yolanda nae hakupenda kunivunja moyo na kunisihi sana 
Yolanda "usivunjike moyo mdogo wangu kwani kufeli siyo kufeli maisha"
Maneno yale yalipenya mpaka ndani ya akili yangu na kukaa vizuri na kuelewa alicho kuwa akisema nami nilimjibu huku machozi yakini toka.
Isabela "siamini Dada yangu kwani sikutegemea matokeo haya kwani nilipenda shule mno na nikipeleka matokeo haya nyumbani mama atanionaje Mimi?"
Yolanda" Mdogo wangu narudia tena kufeli elimu siyo kufeli maisha hiyo weka kwenye akili yako sawa" 
Alikwisha kuongea hivyo Dada Yolanda alininyanyua na kunipeleka chumbani kupumzika. 
Nilitumia mda sana kusahau yalio tokea na maisha yaliendelea. Dada Yolanda alichukua jukumu LA kunitafutia hata sehemu nijiwekeshe kwa namna moja au nyingine ili hali nijipatie kipato.
Alipata kazi lakini Kazi haikuwa Kazi ndipo nilipo amini ya kuwa na elimu usome sana na upate Kazi nzuri. Nilipata Kazi kwenye saloon ya rafiki yake (Yolanda). Kazi nilianza vizuri japo kuwa sikuwa mzoefu sana na Kazi za saloon na nilipata mafunzo huku nikiwa na uwezo Wa kufanya vitu vidogo kwenye saloon.
Siku zilizidi kusogea mbele Kazi niliweza kufanya kama ilivyo kuwa inatakiwa mpaka boss wangu (Amina) Alipenda sana nilivyo kuwa najituma kwa bidii niliipenda Kazi hiyo kwa namna moja au nyingine kwani iliniingizia kipato kizuri kwa siku........?

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment