storynzuriSehemu ya 2
Mtunzi @hanscharlz @storynzuri
Ilipoishia "mama yetu alipo pata taharifa kuwa tumefanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari mama"
.
.
alifulai sana japo kuwa alikuwa akifikilia juu ya pesa ambayo itaweza kutupeleka shule Mimi pamoja na kaka yangu Gabriel kwani msiba ulivyo tokea wana ndugu Wa upande Wa baba walitokea kututenga pindi msiba ulivyo kwisha kumalizika wana ndugu walihitaji Mali za baba japo kuwa mama alipambana sana na kuzibakisha ndio chanzo cha kutengwa nao. Mama alifikiria sana huku akikosa majibu na ndipo alipo fikiria juu ya kuuza shamba moja angarau APATE fedha chache ili hali mmoja wetu APATE kwenda shule. Mama aliuza shamba hilo na pesa ilipatikana chache ambayo isingeweza kukizi mahitaji yetu sote na ilitoshereza kwa mtu mmoja tu. Basi ilimbidi mama amlipie ndugu yangu Gabriel ada kwa kile kiasi cha fedha kilicho patikana ili tu APATE kuanza shule kwani mda ulikuwa umeshafika Wa sisi kulipoti shule ni. Kaka yangu Gabriel alianza masomo na Mimi nilibaki nyumbani tukiangaikia pesa ili nami nianze masomo japokuwa nilikuwa nimesha chelewa. Pesa yangu ya ada ilikuwa ngumu sana kupatikana kwani mama aliangaika huku na kule lakini hakufanikiwa siku hiyo mama alirudi nyumbani akiwa mnyonge sana na aliponikaribia aliniangalia kwa jicho huruma sana na kuingia ndani azikupita dakika alitoka na kigoda ndani na aliketi pembeni yangu na kuanza kulia.
Mama "jamani Mimi na mkosi gani "
Aliongea mama huku akinitazama nami machozi yalini lenga na kumuuliza!
Isabela "kwanini mama wasema hivyo NINI kimekupata huko utokako mama yangu"
Mama "mwanangu Isabela nimeangaika sana kwa ajili yako mwanangu lakini ninapo pita hata sipati majibu mazuri kwani wengine wanani tusi kisa Niko mjane na wengine wananisema vibaya wapendavyo lakini sito choka kwani haya yote ni kwa ajili yangu na familia yangu na nitapambana mpaka nahakikisha mwanangu mnasoma na hakika mtanisaidia mbele ni."
Mama alikwisha kusema hayo huku nami machozi yalikuwa yameshafika chini kwani alicho kuwa akisema kilikuwa kinanihusu Mimi na familia yetu kwa ujumla. Zilipita siku kazaa huku Mimi nikimsaidia mama Kazi za nyumbani na kuangalia ili tupate fedha ya Mimi kuniwezesha kujiunga....?
About storynzuri
0 comments:
Post a Comment